"NITUME MIMI"
Bablar co-ordination Agency ni ofisi binafsi inayofanya kazi mjini Makambako mkoani Njombe inayojishughulisha na kazi zifuatazo;
1.Kuwaunganisha watu na watu,watu na makampuni na taasisi mbalimbali hasa katika mahitaji ya kazi,mauziano ya mali kama mashamba,nyumba,n.k
2.Kuwataftia Wahitaji wa kazi mbalimbali za majumbani,kazi za utaalamu mbalimbali katika ofisi za taasisi na watu binafsi.
3.Kununua,kutuma na kupokea mizigo.
4.Kukaa na watoto katika majumba hasa kwa wakazi karibu na makao makuu ya ofisi.
5.Kuwatafutia waajiri binafsi/taasisi wafanyakazi wa aina zote kama wa Maofisini,Majumbani(haouse girls/boys)wa kufanya kazi za mashamba n.k.
6.Kusindikiza watoto katika shule za mbali.
7.Usafi wa majumbani kama kufua n.k,Kubaki na watoto na nyumba kwa ulinzi wa muda maalumu hasa kwa wakazi karibu na makao makuu ya ofisi.
NB;
1.Wewe unaetafuta kazi ya aina yoyote,wewe mtu binafsi au taasisi unaetafuta mfanyakazi wa aina yoyote iwe wa kazi za ndani,kuuza maduka,dereva,ofisini ama huna muda wa kushughulikia jambo fulani kutokana na ufinyu wa muda.
2.Gharama za malipo zimeainishwa kulingana na aina ya huduama inayotolewa.
3.Tafadhali wasiliana nasi kwa namba zifuatazo;
+255764-390-226
+225692-229-473
+225718-382-831
E-mail-info.bablarcoordinationagency@gmail.com

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni